Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
Subiria tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
Bajeti ya kununua ndege na ujenzi wa uwanja wa Chato ilipitishwa na Bunge lipi ?Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
Tareh 30/9Deadline line ?
OkTareh 30/9
Acha upim.bi wewe, hizo ndege pesa ya kuzinunulia inatolewa kila mwezi?Bajeti ya kununua ndege na ujenzi wa uwanja wa Chato ilipitishwa na Bunge lipi ?
Je ndege hazijanunuliwa
Uwanja haujajengwa ?
Ameshajibiwa ipasavyo, kadiri ya upumbavu wake.Akikujibu nitagi mkuu
Ajira zinatolewa kila mwezi ?Acha upim.bi wewe, hizo ndege pesa ya kuzinunulia inatolewa kila mwezi?
Mbona umefurah mkuu kwenye post yangu hapo juuAmeshajibiwa ipasavyo, kadiri ya upumbavu wake.
Kila week zinatolewaAcha upim.bi wewe, hizo ndege pesa ya kuzinunulia inatolewa kila mwezi?
Dogo acha uzwazwa, gharama ya maintenance ya ndege sio ya kudumu kama ilivyo mishahara kwa Watumishi. Shule ulienda kusomea ujinga mpuuzi wewe? Ndege inaweza kuwekwa parking tu, hao Watumishi unaweza kuwakalisha miezi na miezi bila ya kuwalipa mishahara yao? Ficha upumbavu wako.Kila week zinatolewa
Kwa akili zako unafikiri ndege ikishanunuliwa haina tena gharama za uendeshaji.
Pumbavu
Dogo acha uzwazwa, gharama ya maintenance ya ndege sio ya kudumu kama ilivyo mishahara kwa Watumishi. Shule ulienda kusomea ujinga mpuuzi wewe? Ndege inaweza kuwekwa parking tu, hao Watumishi unaweza kuwakalisha miezi na miezi bila ya kuwalipa mishahara yao? Ficha upumbavu wako.
Kabla ya uchaguzi na wote walioomba escapees Nafasi.Wakuu hizi ajira za walimu mwenye utabiri lin wataajiri baada ya dirisha kufungwa?? Kabla au baada ya uchaguz??
Sijakuelewa escapees nafasi unamaanisha nnKabla ya uchaguzi na wote walioomba escapees Nafasi.
Duu 'wote'Sijakuelewa escapees nafasi unamaanisha nn
Wote kivp mkuu walihitaj walimu 13k sasa watu zaid ya 98k asaiv VP waajil woteDuu 'wote'
98k??!! Una uhakika au porojo za vijiweniWote kivp mkuu walihitaj walimu 13k sasa watu zaid ya 98k asaiv VP waajil wote