Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Hakuna anayemuombea mtu mabaya, ila sisi vijana tulipaswa kuwa chachu ya mabadiliko ya kiuongozi wa taifa hili, badala yake tumeendelea kuwakumbatia maccm wanaotufilisi kila uchwao
Huu mwaka '2020' vijana walijitahidi, kusambaza taarifa za upinzani kupitia social media, uwepo kene kampeni, kupiga kura.

M/Mungu ajaalie wapate hitaji la mioyo yao.
 
Kila kitu Tamisemi washamaliza bado kuachiwa tu.Vijana kuweni wapole kila kitu kipo sawa.Wenye Bahati zao watapata nafasu
 
Magu nyoosha hizi pimbi zote


Zilikuwa zinaimba wacha waisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…