Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Huu mwaka '2020' vijana walijitahidi, kusambaza taarifa za upinzani kupitia social media, uwepo kene kampeni, kupiga kura.Hakuna anayemuombea mtu mabaya, ila sisi vijana tulipaswa kuwa chachu ya mabadiliko ya kiuongozi wa taifa hili, badala yake tumeendelea kuwakumbatia maccm wanaotufilisi kila uchwao
M/Mungu ajaalie wapate hitaji la mioyo yao.