Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Vijana kaeni mkao wa kulia au kufurahi, soon mambo yanamwangwa hadharani.

Kama unahiyo app ya TAMISEMI TV waweza fuatilia au kwenye pages zao.

Mungu awabariki nyote.
 
Attachments

  • IMG_20201127_142852.png
    IMG_20201127_142852.png
    52.6 KB · Views: 1
Katika Mtu anayejuta kupoteza muda wake kuomba hizi Ajira basi ni Mimi 😣😠

Yani since nilipomaliza Stashahada ya ualimu mwaka 2015 mpaka leo naishia kusomesha Tuition tu lakini Ajira imeshindikana.
 
Katika Mtu anayejuta kupoteza muda wake kuomba hizi Ajira basi ni Mimi 😣😠

Yani since nilipomaliza Stashahada ya ualimu mwaka 2015 mpaka leo naishia kusomesha Tuition tu lakini Ajira imeshindikana.
Mkuu kumbe na ww n mwalimu.
 
Ni ujinga bora pesa niliyoenda kusomea PGDE ningekeshea tu bar ,manake kila nikiomba wananipiga chini,na bachelor yangu ajira zake zinatoka kwa manati na zikitoka ni chache connection inahusika
 
Aisee kuna waliopata hizi ajira kweli,mbona kila mtu analia tuuu,au kuna usanii umefanyika?!
 
Back
Top Bottom