Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
tarehe 1 december , ajira zinatoka kwa wote walioapply.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi habari kakupa nan.. Hizi ajira zina changmoto nyingi sana. Mwaka unaweza ukapinduka kbsa hazijatokatarehe 1 december , ajira zinatoka kwa wote walioapply.
Kitu kinachouma ni kuona maccm yanaumiza vijana kwa kuwadanganya watapata ajira kumbe ilikua siasa tu!!Vijana msiwaze ajira zinatoka leo
Mkuu kumbe na ww n mwalimu.Katika Mtu anayejuta kupoteza muda wake kuomba hizi Ajira basi ni Mimi 😣😠
Yani since nilipomaliza Stashahada ya ualimu mwaka 2015 mpaka leo naishia kusomesha Tuition tu lakini Ajira imeshindikana.
Mkuu kumbe na ww n mwalimu.
Mkuu mbona nasikia walimu wote, mlishiriki ?!Yah! Lakini sikushiriki kwenye Bao la Mkono
Hongereni mliopata.
Maisha bado yanaendelea.
Mkuu mi ni bendera fuata upepo,The Humble Dreamer: Pamoja na kufuatilia kote hujapata? Mungu akutie wepesi.
Hakuna Usanii Boss ni BAHATI NASIBU TUAisee kuna waliopata hizi ajira kweli,mbona kila mtu analia tuuu,au kuna usanii umefanyika?!