Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 906
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Si unajua maputo ndani yana nini?
Ndo ajira hewa hizo sasa.... Mfumo umeishia kwny maputo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Si unajua maputo ndani yana nini?
Ndo ajira hewa hizo sasa.... Mfumo umeishia kwny maputo...
Si unajua maputo ndani yana nini?
Ndo ajira hewa hizo sasa.... Mfumo umeishia kwny maputo...
Hiv MTU akikuambia "tuma maombi ya kazi" ana lenga nin hasana vipi kuhusu barua unaandika kwa word then unaiweka pdf au unaandika kwa mkono kwenye karatasi the unascan??
yaani mkuu huu sio muda wa kuhojiana kuonyeshana ujuzi wa mambo we kama unajua toa majibu kwa msaada wa wengine baba angu, kwani kuna ugumu gani kiongoziHiv MTU akikuambia "tuma maombi ya kazi" ana lenga nin hasa
Sasa wew umeambiwa tuma barua ya maombi ya kazi...una hoji nin tena wakat inatakiwa barua?yaani mkuu huu sio muda wa kuhojiana kuonyeshana ujuzi wa mambo we kama unajua toa majibu kwa msaada wa wengine baba angu, kwani kuna ugumu gani kiongozi
Nimeishi sana mpwapwa ila jamaa unaonekana mwongo balaaHivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.
Anyway uzuri/ubaya wa JF kila mtu anajaribu kuwa smart kuliko mwingine, mimi siko ivo. Ukiuita huo nilioandika uongo nakukubalia napita ivi.
bado hujanijibu mkubwa wangu...barua iweje samahaniSasa wew umeambiwa tuma barua ya maombi ya kazi...una hoji nin tena wakat inatakiwa barua?
PDF ziwe na ukubwa usiozidi MB 2mkuu naattach certificates naambiwa zinwe katika pdf wakati tayari ni pdf. nimekwamia hapo
Utatakiwa ule kiapo ili hivyo vyeti vyako viwekwe majina matatuHabari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?
Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu
Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Copy mkuuKuhusu atachment ya vyeti, je ni vyeti originals au certified copies za vyeti
Mkuu cha msingi tuma barua ya maombi ya ajira..hilo tu basi!bado hujanijibu mkubwa wangu...barua iweje samahani
Sio lazima original hata copy unascan tuAnajua atusaidie kutujibu?
Wao wanachoangalia kwenye hivyo vyeti ni index no.mkuuTena wavi certify kabisa ndio wa upload Kama wanavofanya utumishi portal, maana wasipo certify itakuwa sababu ya kuwakata na hivi Kuna maelfu ya graduates wanaotaka hzo nafasi
Nilikuwa naandika as tahadhari maana kote ka ajira you must certify ur certificatesWao wanachoangalia kwenye hivyo vyeti ni index no.mkuu
Sio taasisi binafsi ndg hiiHao 13000 walishapangwa muda mrefu. Nyie mnaaply kutimiza wajibu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu. Sikua na lengo la kukudanganya. Bahati mbaya hujaamini. Sio kosa langu.Nimeishi sana mpwapwa ila jamaa unaonekana mwongo balaa
Subir night kali, ndio uingieHivi haya Maputo yanasubiriwa kwa mda gani maana saa la 3 bado yanazunguka