Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

yaani mkuu huu sio muda wa kuhojiana kuonyeshana ujuzi wa mambo we kama unajua toa majibu kwa msaada wa wengine baba angu, kwani kuna ugumu gani kiongozi
Sasa wew umeambiwa tuma barua ya maombi ya kazi...una hoji nin tena wakat inatakiwa barua?
 
Hivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.

Anyway uzuri/ubaya wa JF kila mtu anajaribu kuwa smart kuliko mwingine, mimi siko ivo. Ukiuita huo nilioandika uongo nakukubalia napita ivi.
Nimeishi sana mpwapwa ila jamaa unaonekana mwongo balaa
 
Utatakiwa ule kiapo ili hivyo vyeti vyako viwekwe majina matatu
 
Nimeishi sana mpwapwa ila jamaa unaonekana mwongo balaa
Pole sana mkuu. Sikua na lengo la kukudanganya. Bahati mbaya hujaamini. Sio kosa langu.

Nenda dodoma stand ya kikuyu panda gari yakwenda Ipera. Usiende jumapili hakuna usafiri. Ukisharudi uwasimulie na wajumbe ulichokiona. Kisipofanana na nilichosema mimi naacha kutumia JF.

Ivi kwani Mpwapwa imenifanyia nn mpaka nikudanganye experience yangu kule.

Anywayay, tufanye mimi ndo muongo, wewe ndo mkweli. End of story.
 
Hivi haya Maputo yanasubiriwa kwa mda gani maana saa la 3 bado yanazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…