kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
mkuu kwenye system English umeiona? Mimi jana sijaonaNaona arts waliokumbukwa ni English tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwenye system English umeiona? Mimi jana sijaonaNaona arts waliokumbukwa ni English tu
hawajaeleza hilo but nadhani unascan vyeti orijino ndio unatupia hapo na kusubiri ajira yako kijanaKuhusu atachment ya vyeti, je ni vyeti originals au certified copies za vyeti
hahahahahhahahahaMambo ndo hayo kwa sas
View attachment 1562661
Anajua atusaidie kutujibu?Kuhusu atachment ya vyeti, je ni vyeti originals au certified copies za vyeti
Tusaidieni jibu..Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?
Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu
Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Mkuu hapo kwenye Maputo ndo pana fungua systemmwenzenu nafungua naona kuna vitu kama maputo vinazunguka tu hahahahhahahhaha sielewi kitu hapa
Kwahyo nikusubiri tuMkuu hapo kwenye Maputo ndo pana fungua system
Ndio mkuu hata kama ikawa inalod adi kesho ndo I nakupeleka kwenye lengo hahaKwahyo nikusubiri tu
Mm ishaweka nembo soon nafunguaNdio mkuu hata kama ikawa inalod adi kesho ndo I nakupeleka kwenye lengo haha
Certified certificateKuhusu atachment ya vyeti, je ni vyeti originals au certified copies za vyeti
Ngoja nikomae kusubiriMkuu hapo kwenye Maputo ndo pana fungua system
fuatilia kampeni. lissu alishusha nyundo nzito kuhusu ajira. kufunika hilo mzee siku ya pili akatangaza ajira. watu wakamshukuru lissu. kwahiyo ujue hakuwa na mpango wa kuajiri kwasababu alichukulia kwake kampen zitakuwa mtelezo tu kwasababu ya hayo mandege aliyonunua. mambo yamekuwa magumu kwake mpaka anapaniki jukwaani. pongezi kwake lissuLisu anahusikaje, ajira huwa zinatangazwa mara kwa mara tatizo lipo kwa upande wa waalimu wa sana
Hakuna sehemu waliyoandika vyeti orijino au sio orijino. but kwaushauri wangu scan vyeti orijino ndio uapload kwenye system.Anajua atusaidie kutujibu?
Tena wavi certify kabisa ndio wa upload Kama wanavofanya utumishi portal, maana wasipo certify itakuwa sababu ya kuwakata na hivi Kuna maelfu ya graduates wanaotaka hzo nafasih
akuna sehemu waliyoandika vyeti orijino au sio orijino. but kwaushauri wangu scan vyeti orijino ndio uapload kwenye system
Samahani bi-dada unaposema Certify unamaana ipi hasa?.Tena wavi certify kabisa ndio wa upload Kama wanavofanya utumishi portal, maana wasipo certify itakuwa sababu ya kuwakata na hivi Kuna maelfu ya graduates wanaotaka hzo nafasi