Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Habari za muda huu wakuu,

Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?

Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu

Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Tusaidieni jibu..
 
Attachments

  • Screenshot_20200908-070028_1599556161946.jpg
    Screenshot_20200908-070028_1599556161946.jpg
    20.2 KB · Views: 2
Lisu anahusikaje, ajira huwa zinatangazwa mara kwa mara tatizo lipo kwa upande wa waalimu wa sana
fuatilia kampeni. lissu alishusha nyundo nzito kuhusu ajira. kufunika hilo mzee siku ya pili akatangaza ajira. watu wakamshukuru lissu. kwahiyo ujue hakuwa na mpango wa kuajiri kwasababu alichukulia kwake kampen zitakuwa mtelezo tu kwasababu ya hayo mandege aliyonunua. mambo yamekuwa magumu kwake mpaka anapaniki jukwaani. pongezi kwake lissu
 
h

akuna sehemu waliyoandika vyeti orijino au sio orijino. but kwaushauri wangu scan vyeti orijino ndio uapload kwenye system
Tena wavi certify kabisa ndio wa upload Kama wanavofanya utumishi portal, maana wasipo certify itakuwa sababu ya kuwakata na hivi Kuna maelfu ya graduates wanaotaka hzo nafasi
 
Ccm oyeeeeeeee.

Watumishi wapo na Lissu this time
 
Tena wavi certify kabisa ndio wa upload Kama wanavofanya utumishi portal, maana wasipo certify itakuwa sababu ya kuwakata na hivi Kuna maelfu ya graduates wanaotaka hzo nafasi
Samahani bi-dada unaposema Certify unamaana ipi hasa?.
 
Back
Top Bottom