GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Yes ni lazimaEti ni lazima kuweka transcription ya chuo
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni lazimaEti ni lazima kuweka transcription ya chuo
Nipe maelekezo ya hizi page mbili za mwisho Yani teaching subject na choicesNimefanikiwa Ku submit application muda wa SAA 5usku huu. Ni kujaribu Mara nyingi bla kukata tamaa. Hizo message za error zisikutishe...ni Ku cancel then una load tena. Nmekutana nazo sn tu....ni ishu ya mtandao tu wala hujakosea mahal. Try.....try......try and try.... Until you get it .
Sasa ndo dunia ya Sasa dada , sema waimprove tukutwa nzima mfumo unasema ''service temporary unavailable''. Haya mambo ya mifumo bongo naona kama tumekurupuka, hatujawa tayari kiteknolojia. Hata ukisubiri usiku kazi bure.
teaching subect ni masomo utayofundisha na choice ni sehemu utazoenda kufanya kazi make sure ziwe 5Nipe maelekezo ya hizi page mbili za mwisho Yani teaching subject na choices
Mbona najaza izi page Ila sioni Ila nikifika choices , nachagua sioni kitu , nimejaza hizi kada za engineeringteaching subect ni masomo utayofundisha na choice ni sehemu utazoenda kufanya kazi make sure ziwe 5
Edit part ya kwanza kwa kurudia kuweka birth certificate na address then utakua umemalizahongera mkuu. mimi nimejaza kila kitu naambiwa incomplete application
Hongera mkuu unapatikana wapi na umetumia computer au simu?Wakuu mm nimefanikiwa kutumia maombi watu wawili na imecomplete within 30 minutes
Siyo unakosea Bali ni network inasumbuaNikifika hapa ndo mauzauza yanaanza! Labda nakwama wapi??? au nyie wadau mnasolve vipi hii issue ikitokea..dah aiseeView attachment 1565850View attachment 1565850
Computer Mkuu....jaribu bila kukata tamaa....muda mzuri SAA 3 mpaka 6 usiku....kuna kaunafuu wa jam mtandaoni...nahisi watu wanakua wanatafuta ridhki kujaza matumbo...pia SAA 11 mpaka 12 asbuh wengi wanalala baada ya kukesha wakihangaika bila mafanikio...so mida hii MTU anaamua alale japo lepe la usingzUmetumia Kompyuta au Simu? Tunaotumia simu inasumbua sana, nafikili labda kwasababu screen size ya simu ni ndogo.
Kuna mahali itakua hujajaza kitu....click back ucheki in detail kila hatua km umejaza....vyeti umepandisha vyote?hongera mkuu. mimi nimejaza kila kitu naambiwa incomplete application
Ni lazima Mkuu....kama ume graduate obvious una cheti Na transcript... So attach vyote otherwise hutapata option znazofuataEti ni lazima kuweka transcription ya chuo
Kwa sisi wenye bachelor za uhandisi tunajaza masomo yapi. Hafu kwenye application letter Kuna sehemu ya kuchagua chuo tunafanyaje Mana naona sioni option yoyote
Nipe maelekezo ya hizi page mbili za mwisho Yani teaching subject na choices
Sidhan kama ni LAZIMA ziwe 5....binafsi nmeweka 3 Na imekubali bila kwereteaching subect ni masomo utayofundisha na choice ni sehemu utazoenda kufanya kazi make sure ziwe 5
Naomba kujuzwa vipi muda gani network huwa inatulia nataka kutafuta laptop nianze kuomba
Keep trying Mkuu... Network issueNikifika hapa ndo mauzauza yanaanza! Labda nakwama wapi??? au nyie wadau mnasolve vipi hii issue ikitokea..dah aiseeView attachment 1565850View attachment 1565850