Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
UmejaribuHaifunguki asaiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmejaribuHaifunguki asaiv
Asaiv haifunguk kweli aiseeh naona washafungaUmejaribu
Washafungua itakua... Yaan kama mtihani wa taifa, basi masaa matatu yameisha, na bahasha ishafungwaAsaiv haifunguk kweli aiseeh naona washFunga
Tusubir majibu aiseehWashafungua itakua... Yaan kama mtihani wa taifa, basi masaa matatu yameisha, na bahasha ishafungwa
Dah iwe mapema kabla ya Oct.28 au munasemaje watabiriTusubir majibu aiseeh
Dah iwe mapema kabla ya Oct.28 au munasemaje watabiri
Me nabet hivo mkuu🤣🤣🤣🤣Dah iwe mapema kabla ya Oct.28 au munasemaje watabiri
Umesema vema kiongoz wanguHakuna ajira zaidi ya siasa tu
usipoteze muda wako ni vema ukaanza na umachinga
Still we're betting... Ni bora kuamin uwepo wa mungu then ukafanya yampendezayo duniani kisha mbinguni ucmkute, kuliko usiamini uwepo wake, ukafanya utopolo duniani kisha mbinguni ukamkuta...Umesema vema kiongoz wangu
Well saidStill we're betting... Ni bora kuamin uwepo wa mungu then ukafanya yampendezayo duniani kisha mbinguni ucmkute, kuliko usiamini uwepo wake, ukafanya utopolo duniani kisha mbinguni ukamkuta...
Well said
Ajira zinatoka hzo mkuu wangu kwakuwa mkulu ameahidiWhat we do is just applying the concept of probability in our daily life...
Tunajua kuwa ajira zitatoka, what discussed here is when?Ajira zinatoka hzo mkuu wangu kwakuwa mkulu ameahidi
Kabla ya uchaguz mkuu nafikir ad Oct.20 mambo yatasomekaTunajua kuwa ajira zitatoka, what discussed here is when?
Zitatoka at the end of November na kulipoti Ni JanuaryKabla ya uchaguz mkuu nafikir ad Oct.20 mambo yatasomeka
Yote heriZitatoka at the end of November na kulipoti Ni January
Kazi ipo jamani! Mimi na siasa wapi na wapi!Tafuta kadi ya chama, muone katibu wa chama wa mkoa mambo yatakuwa super
Don't worry, itakua anajoke 2Kazi ipo jamani! Mimi na siasa wapi na wapi!
Mungu asaidie tu!
Inaweza ikawa kweli maana yanasemwa semwa sana!Don't worry, itakua anajoke 2