Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Tunaamin ajira zitatoka kabla ya uchaguz kuanzia 21st October to 27th October hyo wiki ya maajabu, jamaa alisistiza anaajiri waalimu 13,000 kuongeza nguvu juz alipopiga simu kufuta tangazo, aliloiita upumbavu lipuuzwe
Kabisa mkuu.
 
Mkuu hadi pesa za kujikimu zimeshatengwa, hivo basi muda wa maandalizi utakuwa mchache sana kwa wale wataochaguliwa.

Pia kutokana na shida ya ajira kene Oteas walioomba ajira si tu walimu, Bali
Waliosoma IT
MaEngeneer
WaKilimo
WaAfya
F6Leaver e.t.c

Maana mfumo bado unamakosa mengi, yoyote anaweza kuomba, maana pia sio gharama kuomba, ni suala la' bando' tu na 'App ya Camscaner'

Hivo basi, Jopo liko makini mnooo, kuondoa contradictions.
duuuuuh Mungu atusimamie
 
Tunatofautiana source Ila tarifa nilizonazo toka juzi walikuwa hawajakaa, na ajira sio za kutoka mwezi huu
 
Back
Top Bottom