Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Kabisa mkuu.Tunaamin ajira zitatoka kabla ya uchaguz kuanzia 21st October to 27th October hyo wiki ya maajabu, jamaa alisistiza anaajiri waalimu 13,000 kuongeza nguvu juz alipopiga simu kufuta tangazo, aliloiita upumbavu lipuuzwe