Akili za Lisu hizi aliyeshindwa uchaguziDuh!! Kuna haja ya reasoning skills iwe somo la lazima hukoo shule ya msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za Lisu hizi aliyeshindwa uchaguziDuh!! Kuna haja ya reasoning skills iwe somo la lazima hukoo shule ya msingi.
Lisu ndiyo nani?Akili za lisu hizi aliyeshindwa uchaguzi
Mtetea haki aliyepigwa risasi na hakufa pale dodoma.Lisu ndiyo nani?
😳😳😳 imetokea lini hiyo?Mtetea haki aliyepigwa risasi na hakufa pale dodoma.
Uliza lingine..
2017 september...😳😳😳 imetokea lini hiyo?
😯😯 ni nani hasa kwako huyo lisu?2017 september...
Humu kila mtu mtaalum wa siasa na uchambuzi uchwaraWanasiasa mmekuja kuharibu Uzi.
Kaka ebu fanya mahesabu kabsa ad kuipata hyo 400k kwa faida zaid weka na makato kabsaBaada ya Utopolo kufanyika anabaki na mia 4
Naskia majina yametoka tayariWakuu Salaam;
Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.
Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :Mfumo wa Maombi ya Ajira .
Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.
All the Best.
umesikia wapi?Naskia majina yametoka tayari
Kuna watu ni visiraniumesikia wapi?
Upo serious au??Possibly kesho yanaweza toka
Mzee, usiumize kichwa na hizi story ambazo ni ngumu kuzithibitisha. Kikubwa subira tu na sio manenoUpo serious au??
Watu wanasema hivo ila sio 100% correctUpo serious au??
aiseeehWatu wanasema hivo ila sio 100% correct