Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

Hivi hii TASAF sponsorship letter ndio barua inayotakiwa itoke mamlaka ipi?
 
Kuna mtu yeyote aliyeweka TASAF SPONSORSHIP DOCUMENT halafu hajawekewa makosa yeyote
 
Naomba nikujibu kiongozi maana nimetoka kumrekebishia dogo hapa. Kwanza ifanye browser yako iwe na option kama desktop ndio utaona sehemu ya kurekebisha kama unavyoona hapo chini kuna sehemu ya ku-take action. Then baada ya kufanya marekebisho italeta hiyo notification kwenye screenshot ya pili.

Kama simu yako haina uwezo nenda tu internet cafe.
 

Nashukuru mkuu, you are a life savor [emoji120]
 
Mkuu,, unaposema "Ifanye browser iwe na option ka desktop" una maanisha nn au ni kitu gani..?
Maana mwenyewe nimeingia kwa account yangu kwa kutumia simu tu kule chrome.. Ila wamenambia taarifa zako ni verified na zipo completed.
Sasa isiwe kuna mambo mengine sijayaona ikala kwangua
 
Mkuu kama ipo complete haina tabu piga dua uwe allocated Maana hela zao tamu bwana
Hiyo blue tick huko chini Kama umeona inatosha
 
Kwenye chrome browser yako kuna 3dots zipo juu kulia ukigusa hizo itafungua window yA option hizo ukishusha chini utakutana na hii desktop view then una tick tu
Kwahyo ni lazima nitiki hapo..? Na kama sitiki ninakuwa sijakubali kama taarifa zako zipo complete..?
 
Mbona unanichanganya sasa jomba unataka msaada wa nini Kwani
Maana naona sikujibu unachotaka kuuliza
Yaan, nilivyokuelewa umesema kuwa ukiona hyo tick basi ujue tayari.. Hvyo nilitaka nielewe tayari nini au hyo tick inaashiria nn..?
Maana account yangu nishaukuta ile ujumbe wa kijni kunijulisha niko complete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…