Kibra49
Senior Member
- Jul 19, 2017
- 179
- 47
AmenTuombe Mungu. Mwaka huu upate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenTuombe Mungu. Mwaka huu upate
ScreenshotNaombeni mawazo wakubwa, nipate atleast muongozo
Nazan itakuwa TASAF kwenyewe, tembelea ofisi zao zilizopo kalibu nawe.Hivi hii tasaf sponsorship letter ndio barua inayotakiwa itoke mamlaka ipi ?
Naomba nikujibu kiongozi maana nimetoka kumrekebishia dogo hapa. Kwanza ifanye browser yako iwe na option kama desktop ndio utaona sehemu ya kurekebisha kama unavyoona hapo chini kuna sehemu ya ku-take action. Then baada ya kufanya marekebisho italeta hiyo notification kwenye screenshot ya pili.Habari wana JF, naombeni kuuliza., Ivi kama kwenye application ya mkopo na mahali nilikosea na ni ya muhimu sana na nikaprint ile document kana kwamba sina uwezo wa ku-Edit tena, je nitafanyaje ili niweze kutatua ilo tatizo, au nikifika kwenye ofisi zao wataweza kunitatulia, poleni na naombeni msaada wenu wa majibu..
Naomba nikujibu kiongozi Maana Nimetoka kumrekebishia dogo hapa
Kwanza ifanye browser yako iwe na option Kama desktop ndio utaona sehemu ya kurekebisha Kama unavyoona hapo chini kuna sehemu ya ku take action
Then Baada ya kufanya marekebisho italeta hiyo notification kwenye screenshot yA pili
Kama simu yako haina uwezo nenda tu internet cafe View attachment 1587385View attachment 1587386
Umetakiwa uweke au..?Hivi hii tasaf sponsorship letter ndio barua inayotakiwa itoke mamlaka ipi ?
Mkuu,, unaposema "Ifanye browser iwe na option ka desktop" una maanisha nn au ni kitu gani..?Naomba nikujibu kiongozi Maana Nimetoka kumrekebishia dogo hapa
Kwanza ifanye browser yako iwe na option Kama desktop ndio utaona sehemu ya kurekebisha Kama unavyoona hapo chini kuna sehemu ya ku take action
Then Baada ya kufanya marekebisho italeta hiyo notification kwenye screenshot yA pili
Kama simu yako haina uwezo nenda tu internet cafe View attachment 1587385View attachment 1587386
Mkuu kama ipo complete haina tabu piga dua uwe allocated Maana hela zao tamu bwanaMkuu,, unaposema "Ifanye browser iwe na option ka desktop" una maanisha nn au ni kitu gani..?
Maana mwenyewe nimeingia kwa account yangu kwa kutumia simu tu kule chrome.. Ila wamenambia taarifa zako ni verified na zipo completed.
Sasa isiwe kuna mambo mengine sijayaona ikala kwangua
Hii huwa inapatikana wapi..?Mkuu kama ipo complete haina tabu piga dua uwe allocated Maana hela zao tamu bwana
Hiyo blue tick huko chini Kama umeona inatosha View attachment 1587403
Kwenye chrome browser yako kuna 3dots zipo juu kulia ukigusa hizo itafungua window yA option hizo ukishusha chini utakutana na hii desktop view then una tick tuHii huwa inapatikana wapi..?
Umetakiwa uweke au..?
Kwahyo ni lazima nitiki hapo..? Na kama sitiki ninakuwa sijakubali kama taarifa zako zipo complete..?Kwenye chrome browser yako kuna 3dots zipo juu kulia ukigusa hizo itafungua window yA option hizo ukishusha chini utakutana na hii desktop view then una tick tu
Mbona unanichanganya sasa jomba unataka msaada wa nini KwaniKwahyo ni lazima nitiki hapo..? Na kama sitiki ninakuwa sijakubali kama taarifa zako zipo complete..?
Yaan, nilivyokuelewa umesema kuwa ukiona hyo tick basi ujue tayari.. Hvyo nilitaka nielewe tayari nini au hyo tick inaashiria nn..?Mbona unanichanganya sasa jomba unataka msaada wa nini Kwani
Maana naona sikujibu unachotaka kuuliza
Mkuu kama ipo complete haina tabu piga dua uwe allocated Maana hela zao tamu bwana
Hiyo blue tick huko chini Kama umeona inatosha View attachment 1587403
Nilijibu huku mbonaYaan, nilivyokuelewa umesema kuwa ukiona hyo tick basi ujue tayari.. Hvyo nilitaka nielewe tayari nini au hyo tick inaashiria nn..?
Maana account yangu nishaukuta ile ujumbe wa kijni kunijulisha niko complete
Nilijibu huku mbona
Ondoa hofu Mkuu, hapo subili MkopoSawa
Kweli kiongozi, hebu tuendelee kuomba Mungu.Ondoa hofu Mkuu, hapo subili Mkopo