P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 182
Naam, Mungu ndio tegemeo letuKweli kiongozi, hebu tuendelee kuomba mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, Mungu ndio tegemeo letuKweli kiongozi, hebu tuendelee kuomba mungu
Arudie.Mkuu... Kuna mtu namsaidia, kwenye account yake inamtaka aweke cheti chenye uthibitisho wa RITA.. Wakati mara ya kwanza aliweka, arudie hichohicho..? Kuna haja wa muhuri wa wakili/mwanasheria kwenye chetii cha kuzaliwa.!?
Una uhakika Kama kiligongwa muhuri wa RITA Maana huyu nae alisema ka attach cha RITA kumbe ovyo tuMkuu... Kuna mtu namsaidia, kwenye account yake inamtaka aweke cheti chenye uthibitisho wa RITA.. Wakati mara ya kwanza aliweka, arudie hichohicho..? Kuna haja wa muhuri wa wakili/mwanasheria kwenye chetii cha kuzaliwa.!?
Wakubwa..
Katika akaunti ya bodi ya mkopo verification result ikionyesha kwamba cheti cha kifo ni INVALID yani majina yametofautiana na ni kweli kwasababu cheti icho kilikosewa Herufi kwenye majina..
Nifanyaje kusolve tatizo
Shukran sana mkuuLeo mimi nilikuwa kwenye makao makuu ya Helsb, na watu kama ww walikuwa wengi na wenye matatizo kuendana na hayo, obviously majibu waliokuwa wanapewa kwa maana tuliewa kwa pamoja ni kwamba subiri ufanye appeal, yani ilo tatizo hawawezi kusolve kwa kipindi hichi, asante ingawa sijakujibu kama ulivotaka
Inatolewa na Halmashauri ya Wilaya kupitia mratibu wa TASAF WilayaHivi hii TASAF sponsorship letter ndio barua inayotakiwa itoke mamlaka ipi?
Kuwa approved haimaanishi ndio umepata mkopo. Jiandaeni kisaikologiaYaaah mwenyewe nimependa
Tatizo hujaelewa.. Angalia hiyo comment imetokama na statement gani.. Acha uboyaKuwa approved haimaanishi ndio umepata mkopo. Jiandaeni kisaikologia
Wakubwa..
Katika akaunti ya bodi ya mkopo verification result ikionyesha kwamba cheti cha kifo ni INVALID yani majina yametofautiana na ni kweli kwasababu cheti icho kilikosewa Herufi kwenye majina..
Nifanyaje kusolve tatizo
Inatolewa na Halmashauri ya Wilaya kupitia mratibu wa TASAF Wilaya
Kinachoandikwa ni barua inayokutambulisha kuwa mhusika anatoka katika Kaya isiyojiweza kwa ni miongoni mwa familia inayonufaika na Malipo ya TASAF na namba ya Kaya ndiyo inayooneshaDah wameniambia jina langu halipo kwenye list ya hiyo namba ya tasaf ... Nifanye je mkuu
Kaya inayo nufaika na TASAF inakuwa imeorodheshwa wana kaya wote.Hivyo majina yao na picha zao zinakuwa kwenye database ya usimamizi wa TASAF.Ili upate hiyo barua ya utambulisho na namba ya TASAF,lazima uonekane kwenye list ya wanakaya walio orodheshwa katika mfumo.Anapokwambia kuwa jina lake halipo,inamaana kuwa hayupo kwenye database.Kinachoandikwa ni barua inayokutambulisha kuwa mhusika anatoka katika Kaya isiyojiweza kwa ni miongoni mwa familia inayonufaika na Malipo ya TASAF na namba ya Kaya ndiyo inayoonesha
Kaya inayo nufaika na TASAF inakuwa imeorodheshwa wana kaya wote.Hivyo majina yao na picha zao zinakuwa kwenye database ya usimamizi wa TASAF.Ili upate hiyo barua ya utambulisho na namba ya TASAF,lazima uonekane kwenye list ya wanakaya walio orodheshwa katika mfumo.Anapokwambia kuwa jina lake halipo,inamaana kuwa hayupo kwenye database.
Basi tatizo kama hilo ndio limenikuta wamenikosa kwenye database sababu sikuandikishwa maana nimevuka miaka 18 .. na heslb wanahitaji barua .. ndio nishakosa mkopo hivyo [emoji20]
Hivi hakuna namna ya marekebisho yoyote baada ya kuprint
Hamna aise .. nimejaribu kuongea nao wanirekebishie ila sijafanikiwa . Mana nilidhani hao System Admin labda wana uwezo wa ku edit
Duh, na pia hakuna option ya kufungua account mpya pia
Kazi kwelikweli, m nmehangaika sana bila mafanikio yoyote,