Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

Meditator

Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
73
Reaction score
117
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15 - 21, 2024.

Aidha, katika kipindi tajwa maombi mapya hayatapokelewa kwani dirisha la maombi ya mkopo limefungwa rasmi Septemba 14, 2024.

Walioomba mikopo wanashauriwa kuingia kwenye akaunti zao walizotumia kuomba mikopo kuona iwapo wanahitajika kufanya marekebisho.

Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
Jumapili, Septemba 15, 2024
 
mazee mbona hakuna option ya kufanya marekebisho kama ilivyo kwa miaka ya nyuma kuna shida gani?
 
KWA FRESHERS / FIRST YEAR 2024/2025

MLIO CHAGULIWA VYUO VYA MIKOA YA KILIMANJARO NA ARUSHA ,

KABIRUNI MJIPATIE VYUMBA VYA KUISHI (SINGLE SELF AU SINGLE ZA KAWAIDA) ,
NA HOSTEL ZA NJE YA CHUO ZILIZO KARIBU KABISA NA VYUO....

KCMC , MoCU( USHIRIKA) NA MWENGE , HAPO MOSHI MJINI-KILIMANJARO......

IAA NA NELSON MANDELA , NA. TENGERU KWA ARUSHA

VYUMBA NI VIZURI NA VIKO KARIBU NA VYUO HUSIKA...CHA MSINGI ATAKAE WAI ANAPATA.....NA KWA WALE WANAOHITAJI HOSTEL ZA NJE YA CHUO KARIBUNI

Na malipo ya Kila chumba ni kuanzia miezi mitatu , ila hostel unalipa Kwa semester....

WASILIANA NAMI...

0672701329 FOR NORMAL CALL , TEXT , AND WHATSAPP....

PIA WAWEZA SHARE KWENYE WHATSAPP GROUPS AU KWA WANAOHITAJI

.....ASANTE...
 
Kwani unajuaje kama unahitajika kufanya marekebisho
Ukiingia ukiona zote zimewekwa green tick hapo hauna shida ila km kuna sehemu kuna rangi ya chungwa basi jua hapo kwenye rangi ya chungwa palipopigwa X ndio ufanyie marekebisho km kote kumepigwa tick ya kijani wewe upo sawa

Nahisi umeelewa huyu mama awagee vijana wote walioomba pesa za mikopo ili wamtetee kwenye hawa watu wanaomsakama madogo mtaani kugumu mkipewa mkopo someni mselete mdhaha
 
Sidhani kama hiko hivyo ila nafikiri option ya marekebisho iwe tu kwa wote maana kuna ambao wamekosea baadhi ya taarifa labda namba ya nida, mwngne kaupload form tofauti nk
 
Sidhani kama hiko hivyo ila nafikiri option ya marekebisho iwe tu kwa wote maana kuna ambao wamekosea baadhi ya taarifa labda namba ya nida, mwngne kaupload form tofauti nk
Ndio ipo hivyo km umekosea utakuta kuna mkasi kwenye Menu yako angalia km hakuna wewe hauna tatizo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-09-18-16-38-27-749_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-09-18-16-38-27-749_com.android.chrome.jpg
    130.5 KB · Views: 13
Ina maana mpaka leo bado ina ujumbe huo huo kama ilivyokuwa siku umewasilisha maombi kwa mara ya kwanza?
 
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15 - 21, 2024.

Aidha, katika kipindi tajwa maombi mapya hayatapokelewa kwani dirisha la maombi ya mkopo limefungwa rasmi Septemba 14, 2024.

Walioomba mikopo wanashauriwa kuingia kwenye akaunti zao walizotumia kuomba mikopo kuona iwapo wanahitajika kufanya marekebisho.

Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
Jumapili, Septemba 15, 2024
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).

Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo, nakiheshimu sana hiki chakula.😅

Kwenye issue ya malazi/accomodation/makazi hiki ndo kipengele maridhawa..!😁

Yakupasa upate chumba cha kuishi ambacho kimetulia na hakina mambo mengi na kipo mazingira ambayo hayata disturb mambo yako ya msingi.

Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Nimekosea namba ya nida na sioni huo mkasi na sijapata option ya kurekebisha
Ingia check particular zako pale sahihisha unabonyeza kwenye menu list inakuja unachagua sehemu ya kurekebisha Basic information au Demographic information then bonyeza Next "Preview Details" uta-edit hapo

Ukishindwa nifuate PM
 
Back
Top Bottom