Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

Ukiingia ukiona zote zimewekwa green tick hapo hauna shida ila km kuna sehemu kuna rangi ya chungwa basi jua hapo kwenye rangi ya chungwa palipopigwa X ndio ufanyie marekebisho km kote kumepigwa tick ya kijani wewe upo sawa

Nahisi umeelewa huyu mama awagee vijana wote walioomba pesa za mikopo ili wamtetee kwenye hawa watu wanaomsakama madogo mtaani kugumu mkipewa mkopo someni mselete mdhaha
Ni uhakika kwamba ukiwa na tick ya kijan huna marekebisho? Ama unahis tu?
 
Back
Top Bottom