Dirisha la Usajili lafungwa, Yanga yashindwa kupeleka mwakilishi kwenye kozi maalum

Si ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?

Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.

Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Hata hujitambui...
 
ImageUploadedByJamiiForums1470743618.568950.jpg
 
Kuna ubabe wa kijinga unaondelea kati ya Yanga na TFF unazidi kuharibu soka la Tanzania.Malinzi anazidi kuharibu soka letu
Kosa si la Malinzi.. Ni la Manji na 'genge' lake.
 
Mhindi ana njama za kuihujumu Yanga iliainunue kwa bei ya kutupa!
Hii yaweza kua kweli.. Inataka timu ishushwe hadi ligi ya Mkoa ili aweze kununua kwa milioni 20
 
Mkuu, hiyo bei hata Lipuli hupati. Labda Simba ambao unaweza kuwaonyesha picha ya hela na kuwaambia nimewawekea kwenye hatifungani za serikali !
 
Kosa si la Malinzi.. Ni la Manji na 'genge' lake.

Malinzi ni kiongozi wa FAT/TFF mbovu kuwahi tokea. Wakati mnafungwa mlikuwa mnalialia Yanga anabebwa ?
 
Mkuu ya kulalamika kuhusu Yanga kubebwa, Yanatoka wapi? Hapa tunazungumzia nani mwenye makosa, Jamal Malinzi au Yanga?
 
Yanga wanafanya mambo kienyeji sana pale yanga inabidi wamapate Baraka Kizuguto ambaye kwa sasa ni meneja WA mashindano na TMS pale TFF ashike mite go cha meneja WA timu pale hayo mambo ya TMS na usimamizi WA timu yawe kwako maana yule Dogo yupo vizuri ana coz 3 za FIFA mambo ya TMS na umeneja afu yule ni yanga damu
Usije kuwa unajipigia debe hapa, hata ivo ile kesi yako si bado inaendelea?
 
Kuna ubabe wa kijinga unaondelea kati ya Yanga na TFF unazidi kuharibu soka la Tanzania.Malinzi anazidi kuharibu soka letu
Kwahiyo unataka Malinzi ajishushe kwa Yanga? Baba atabaki kuwa baba siku zote.
 
Hizi ni sarakasi tuu, kikubwa apo ni malinxi na kundi lake la mijizi wanataka kupiga hela ya manji, hakuna jingine lolote!
 
Kwahiyo unataka Malinzi ajishushe kwa Yanga? Baba atabaki kuwa baba siku zote.

Yanga ndio inawafanya hao TFF wanaishi,unajua Yanga kucheza hatua ya makundi TFF wamepata fedha ?

Yanga ndio klabu inayoingiza mapato mengi kwenye mechi zake.
Stand United kuna timu moja lakini management ziko mbili
 
Si ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?

Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.

Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Yanga wenyew ndo hawajatuma taarifa FIFA
TFF kama msimamiz hausiki na kutuma taarifa bali kuhakiki taarifa za wachezaji waliotumwa FIFA
Sasa hapo unailaumu vipi TFF?
 
Mkuu, issue yote ipo kwenye ile mechi watu waliingia bure TFF wakakosa mapato. Mengine yote ni mizunguko tu.
 
Huo ni uongo taarifa zipo tff siku nyingi .Yanga walimaliza usajili mwezi mmoja uliopita TFF wana majungu
walifanyaje usajili wakati system ya usajili ilikuwa haijafunguliwa?jipe moyo ndg angalieni msije mkaenda kucheza mchangani
 
Si ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?

Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.

Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Ukiona TFF wanaongea ongea ujue mzigo umekuwa mzito kwao,na wakicheza cheza mzungu haifungui system Yanga atakuwa akishiliki ndondo tu,Mzungu haijui Yanga tena amesema hii timu inatia haibu kwenye ligi wana point moja tu wakati anaemfuatia ana point tano sasa si bora ishushe daraja,sorry ndg nakutania tu.
 
Point moja kwenye mechi za kimataifa hizo. Mwakani kama kawa, kama dawa. Point moja kimataifa na point 10 mchangani kipi bora?
 
Back
Top Bottom