yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
kwani TMS inasimmiwa na TFF?Huo ni uongo taarifa zipo tff siku nyingi .Yanga walimaliza usajili mwezi mmoja uliopita TFF wana majungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani TMS inasimmiwa na TFF?Huo ni uongo taarifa zipo tff siku nyingi .Yanga walimaliza usajili mwezi mmoja uliopita TFF wana majungu
Hata hujitambui...Si ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?
Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.
Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Inawezekana. Who knows?Hata hujitambui...
Kosa si la Malinzi.. Ni la Manji na 'genge' lake.Kuna ubabe wa kijinga unaondelea kati ya Yanga na TFF unazidi kuharibu soka la Tanzania.Malinzi anazidi kuharibu soka letu
Hii yaweza kua kweli.. Inataka timu ishushwe hadi ligi ya Mkoa ili aweze kununua kwa milioni 20Mhindi ana njama za kuihujumu Yanga iliainunue kwa bei ya kutupa!
Mkuu, hiyo bei hata Lipuli hupati. Labda Simba ambao unaweza kuwaonyesha picha ya hela na kuwaambia nimewawekea kwenye hatifungani za serikali !Hii yaweza kua kweli.. Inataka timu ishushwe hadi ligi ya Mkoa ili aweze kununua kwa milioni 20
Simba imeuzwa yanga imekodishwa
Kosa si la Malinzi.. Ni la Manji na 'genge' lake.
Mkuu ya kulalamika kuhusu Yanga kubebwa, Yanatoka wapi? Hapa tunazungumzia nani mwenye makosa, Jamal Malinzi au Yanga?Malinzi ni kiongozi wa FAT/TFF mbovu kuwahi tokea. Wakati mnafungwa mlikuwa mnalialia Yanga anabebwa ?
Usije kuwa unajipigia debe hapa, hata ivo ile kesi yako si bado inaendelea?Yanga wanafanya mambo kienyeji sana pale yanga inabidi wamapate Baraka Kizuguto ambaye kwa sasa ni meneja WA mashindano na TMS pale TFF ashike mite go cha meneja WA timu pale hayo mambo ya TMS na usimamizi WA timu yawe kwako maana yule Dogo yupo vizuri ana coz 3 za FIFA mambo ya TMS na umeneja afu yule ni yanga damu
Kwahiyo unataka Malinzi ajishushe kwa Yanga? Baba atabaki kuwa baba siku zote.Kuna ubabe wa kijinga unaondelea kati ya Yanga na TFF unazidi kuharibu soka la Tanzania.Malinzi anazidi kuharibu soka letu
Kwahiyo unataka Malinzi ajishushe kwa Yanga? Baba atabaki kuwa baba siku zote.
Yanga wenyew ndo hawajatuma taarifa FIFASi ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?
Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.
Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Mkuu, issue yote ipo kwenye ile mechi watu waliingia bure TFF wakakosa mapato. Mengine yote ni mizunguko tu.Yanga wenyew ndo hawajatuma taarifa FIFA
TFF kama msimamiz hausiki na kutuma taarifa bali kuhakiki taarifa za wachezaji waliotumwa FIFA
Sasa hapo unailaumu vipi TFF?
walifanyaje usajili wakati system ya usajili ilikuwa haijafunguliwa?jipe moyo ndg angalieni msije mkaenda kucheza mchanganiHuo ni uongo taarifa zipo tff siku nyingi .Yanga walimaliza usajili mwezi mmoja uliopita TFF wana majungu
Ukiona TFF wanaongea ongea ujue mzigo umekuwa mzito kwao,na wakicheza cheza mzungu haifungui system Yanga atakuwa akishiliki ndondo tu,Mzungu haijui Yanga tena amesema hii timu inatia haibu kwenye ligi wana point moja tu wakati anaemfuatia ana point tano sasa si bora ishushe daraja,sorry ndg nakutania tu.Si ndiyo hiyo hiyo TFF mnasema inaibeba Yanga? Leo iweje waseme Yanga haijafanya usajili?
Siku zote Yanga imeweka wazi visa vya TFF dhidi yake. Sasa yule mnunuzi wa mikia kaja na yake. Hakuna njia ya kuizuia Yanga kutwaa ubingwa zaidi ya figisufigisu kama hizi.
Tuone mwisho wa sinema hii itakuwa vipi. Uwanjani lazima Yanga atwae ubingwa tena. Labda kwa njia kama hizi Azam au mikia wataona ndani.
Point moja kwenye mechi za kimataifa hizo. Mwakani kama kawa, kama dawa. Point moja kimataifa na point 10 mchangani kipi bora?Ukiona TFF wanaongea ongea ujue mzigo umekuwa mzito kwao,na wakicheza cheza mzungu haifungui system Yanga atakuwa akishiliki ndondo tu,Mzungu haijui Yanga tena amesema hii timu inatia haibu kwenye ligi wana point moja tu wakati anaemfuatia ana point tano sasa si bora ishushe daraja,sorry ndg nakutania tu.