Wana MMU poleni sana kwa majukumu ya juma zima, weekend bado changa ndio kwanza inaanza.
Leo nina confession moja ambayo sio nzuri.
First lemme declare hiki nilichokiandika sio sifa, bali ni majuto na mpaka sasa najiuliza how did it happen? Mimi ni muumini mzuri sana toka utotoni lakini kwenye uchakataji uumini umegoma kabisa kuapply.
Toka nianze uchakataji mwaka 2012 mpaka sasa 2019 nimechakata zaidi ya papuchi 20+.
List ni hii hapa:
1. Aika
2. Ashura
3. Beti
4. Sesi
5. Chriss
6. Carren
7. Feli
8. Vero
9. Tausi
10. Frida
11. Pili
12. Debora
13. Mama Bry
14. Mama Jay
15. Ester
16. Scola
17. Helen
18. Lightness
19. Latifa
20. Mpwapwa girl(simkumbuki jina)
21. e.t.c
Nimejaribu kupambana sana kuacha hii tabia ya kuonja matunda mapya kila siku lakini wapi nimeshindwa. Hapa nilipo nina list ya wanawake 3 wapya ambao wapo line tayari, achana na wale ambao tayari tushachakatana ambao nao wengi wao wanasumbua daily.
Kwa kupitia uzi huu, naweka naweka agano sitaleta mazoea na kiumbe mpya wa kike yeyote nabaki na mtarajiwa wangu tuu. Sitasahau siku mtarajiwa wangu huyu alipofuma lundo la meseji za mahaba za wanawake kadha wa kadha, alilia sana mbele yangu lakini kwa uwezo wa mwenyezi Mungu aknisamehe na maisha yameendelea kama kawaida.
Naomba Mwenyezi Uliye Muweza wa Yote nisaidie niweze kupambana na hili janga nililonalo, Ameen.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Vipi kwa upande wako umeshachakata/kuchakatwa na wangapi?