Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kupata wewe, haimanishi wote wamepataWatumishi gani tena!!!!!!!!!
Mbona tumeshapanda jana usiku mpaka leo asubuhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata wewe, haimanishi wote wamepataWatumishi gani tena!!!!!!!!!
Mbona tumeshapanda jana usiku mpaka leo asubuhi.
Sio swala la July hili,watu wangu was jirani wote wamepanda mkuu..unachoongelea ni annual increment ndio huwa July daraja huwa anytime mzee babaUnauhakika majina yakowapi...mabadiliko yote ya mshahara huanza mwaka mpya wa serikali..sasa wewe sio mtumishi unapata taarifa tu mitandaoni na wewe unaamini..pole yako.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
SERIKALI imewapandisha madaraja watumishi wa umma 70,437 nchini huku ikitenga shilingi bilioni 300 kwa ajili ya mishahara mipya itakayoanza kulipwa kuanzia mwezi June 2021.Kuna waraka mmoja niliona mahali kuwa 60% ya watumishi wa umma hawana uwezo..manake ni vilaza mmoja wao ni huyu mleta uzi..tangulini mabadiliko ya mwaka wa bajeti waserikali yafanyike kabla mwaka mpya wa kiserikali haujaanza..subiri mwezi wa7 usipipandishwa ndio uhoji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unalia hakuna vilio huku mitaani kwetu.View attachment 1829455
Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara.
Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila kona ya watumishi kutoona mabadiliko kama ahadi ya waziri ilivyokuwa. Suala hili limezua taharuki, ni vizuri serikali ikatolea ufafanuzi mapema kuhusu suala hili.
Jamaa umeandika kwa uhakika kama unajua vile![emoji3]Unauhakika majina yakowapi...mabadiliko yote ya mshahara huanza mwaka mpya wa serikali..sasa wewe sio mtumishi unapata taarifa tu mitandaoni na wewe unaamini..pole yako.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wote waliopanda. Mimi na jamaa zangu lukuki hatujapandishwa, huku tukiwa kwenye orodha ya kupandishwa. Na mpaka sasa hatujasikia tamko lolote lile kutoka kwa wenye mamlaka.
Nyie maza amewadekeza sn, kumbe dikteta aliona mbali, maza anajitahidi sn kuheshimu haki za watumishi lakini bando mnaleta ujinga wenu, utadhani nchi imebaki na jambo moja tu la kushughulikia watumishi, nilikuwa nawatetea sitaki tena kumbe mna mambo ya ajabu sn.View attachment 1829455
Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara.
Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila kona ya watumishi kutoona mabadiliko kama ahadi ya waziri ilivyokuwa. Suala hili limezua taharuki, ni vizuri serikali ikatolea ufafanuzi mapema kuhusu suala hili.
Barua hatujapewa mkuu. Ila ni majina tu ndiyo yaliyotolewa. Kwa upande wangu natambua fika ukipanda daraja mwezi wa sita, mshahara hubadilika mwishino mwa mwezi wa saba!Mkuu TATE habari. Je mkuu mulishapewa barua za kupandidhwa madaraja? Kama jibu ni hapana basi hoja yako haina mashiko kama jibu ni ndiyo basi HR wako anaweza kukupatia majibu muafaka kuliko hapa JF.
Ahsante
SERIKALI imewapandisha madaraja watumishi wa umma 70,437 nchini huku ikitenga shilingi bilioni 300 kwa ajili ya mishahara mipya itakayoanza kulipwa kuanzia mwezi June 2021.Nyie maza amewadekeza sn, kumbe dikteta aliona mbali, maza anajitahidi sn kuheshimu haki za watumishi lakini bando mnaleta ujinga wenu, utadhani nchi imebaki na jambo moja tu la kushughulikia watumishi, nilikuwa nawatetea sitaki tena kumbe mna mambo ya ajabu sn.
Shida iko wapi? iko very clear lakini bado tu mnadekaSERIKALI imewapandisha madaraja watumishi wa umma 70,437 nchini huku ikitenga shilingi bilioni 300 kwa ajili ya mishahara mipya itakayoanza kulipwa kuanzia mwezi June 2021.
Hayo yamebainishwa leo June 21,2021 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Mohammed Mchengerwa wakati akifungua kikao kazi cha wakuu wa Idara wa Utawala na Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma.
Mhe.Mchengerwa amesema kuwa taratibu zote za upandishaji zinaendelea na watumishi hao waliopanda vyeo watapata mshahara wa mwezi huu kulingana na madaraja yao waliyopandishwa
’Watumishi 70,437 waliopandishwa madaraja, jumla ya Sh. Billioni 300 Rais wetu mama Samia Suluhu Hassani ametoa kwa ajili ya kuwapatia mishahara mipya inayoanza kulipwa mwisho wa mwezi huu, alisema Waziri huyo’’, amesema Mchengerwa
Waziri amesema kuwa watumishi 11,983 wenye malimbikizo serikalini watalipwa malimbikizo ya mishahara yao kwani wamekuwa wakiendelea na uchunguzi na kupitia madai yao.
”Serikali imetenga Sh. 23,781 bilioni kuhakikisha wanawalipa malimbikizo watumishi hao ambapo ofisi yake imeshafanya uchunguzi na kujiridhisha kwamba ni kweli wanadai malimbikizo yao”
Waziri Mchengelewa amesema kuwa Rais ameshatoa fedha hizo hivyo malimbikizo ya watumishi hao nao watalipwa mwisho wa mwezi huu.
Hata hivyo amesema kuwa Rais Samia ameshatoa kibali cha kupandisha madaraja watumishi 91841 hivyo watumishi wote wenye sifa ya kupandishwa madaraja watapandishwa na kupewa haki yao.
Pamoja na serikali kutimiza wajibu wake kwa watumishi hao ikiwamo kuwapandisha madaraja na kulipa malimbikizo yao serikali inawakumbusha watumishi kuendelea kuwatumikia wananchi kwa Uadilifu na vinginevyo watachukuliwa hatua.
Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amesema kuwa wakuu wa idara wanakazi kubwa ya kuhakikisha watumishi wanaowasimamia wanatimiza majukumu yao na wajibu wao hivyo kama maafisa utumishi wakawe kioo kwa wanao waongoza na jamii zao kwa ujumla.
Hamna anaedeka katika hili, daraja au malimbikizo sio favor bali ni haki ya kila mtumishi.Shida iko wapi? iko very clear lakini bado tu mnadeka
Siyo wote waliopanda. Mimi na jamaa zangu lukuki hatujapandishwa, huku tukiwa kwenye orodha ya kupandishwa. Na mpaka sasa hatujasikia tamko lolote lile kutoka kwa wenye mamlaka.
Yeah! Tulitumiwa pdf ya majina yote ya wanaostahili kupanda. Ila ndiyo hivyo tena. Ni wachache tu wameona mabadiliko.Kwani kazini kwetu mliletewa orodha ya wanaostahili kupandishwa daraja?
Sisi huku hata hatujaambiwa chochote, hata barua hatujaziona tumeona tu imo.
July watamalizia number iliyobaki.
Nitumie ndugu. Ili kama kuna mtu kazini kwetu kasahaulika nimshtue aanze kudai haki zake.Yeah! Tulitumiwa pdf ya majina yote ya wanaostahili kupanda. Ila ndiyo hivyo tena. Ni wachache tu wameona mabadiliko.