Disappointment: Why watumishi wanachezewa hivi? No madaraja, no malipo ya madai ya mishahara

Disappointment: Why watumishi wanachezewa hivi? No madaraja, no malipo ya madai ya mishahara

View attachment 1829455
Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara.

Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila kona ya watumishi kutoona mabadiliko kama ahadi ya waziri ilivyokuwa. Suala hili limezua taharuki, ni vizuri serikali ikatolea ufafanuzi mapema kuhusu suala hili.
Kaja na gia hiyo hiyo mwezi huu December 2021... Sijui kasahau aliyotamka June 2021 [emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]
 
Back
Top Bottom