Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Ofcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo.
Pombe huwa haisemi uongo.
Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana wangemnyang'anya simu.
My brother from another mother min -me
Pombe huwa haisemi uongo.
Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana wangemnyang'anya simu.
My brother from another mother min -me