Tabia ya mtu isisingiziwe pombe.Ofcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo.
Pombe huwa haisemi uongo.
Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana wangemnyang'anya simu.
My brother from another mother min -me
Pombe haihusiki mkuuPombe haina adabu
Hii chupa ikiisha nilipaswa kutulia ila sio rahisi! Ngoja Leo nijitahidi nisimixKunywa kistaarabu budhaa
Ofcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo.
Pombe huwa haisemi uongo.
Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana wangemnyang'anya simu.
My brother from another mother min -me
Okey nimekupataOfcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo.
Pombe huwa haisemi uongo.
Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana wangemnyang'anya simu.
My brother from another mother min -me
Walevi wote wangetukana wakilewa.Akili Moja umaanisha nini
Kwamba wengine wakinywa alcohol hawalewi?
Nimewahi piga hiyo kitu nilikunywa 36