Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Kwani Japan imezungukwa na Nini?
 
Kiukweli kabisa kuna brand ya hizi gari ni muhimu mno kwenda kufanya schedule maintenance au repairs kwa dealer wake kwasababu mitaani changamoto ni kubwa, expert walio qualify ni nadra.
 
Hii ina mantiki, maana kipindi cha baridi, wale wasafisha barabara huwa wanamwaga mchanganyiko wa chumvi na mchanga kiasi baada ya barafu kutolewa barabarani...

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
Gari ngumu zipo South Africa sema wale jamaa unakutana na Prado 4000cc au Subaru forester 2500cc.

NB: kama ni mtu WA kumwaga Moto gari za SA zitakufaa
 
Umaskini nimbaya sana nduguzangu,hakuna gari baya,kumbukeni expertie wamethibitisha liuzwe internations,so ubahili wako usisingizie wengine,nina br ana disco 4 ,mwaka wa nane sasa hajawahi gusa jiko zaidi ya svs na kwenye tairi,pads baasi,sasa utasemaje ni gari bovu??? Tutafute pesa.chuma anayo tumia malkia wa UK unasemaje ni kimeo?
 

Inategemea alinunua ikiwa katika hali gani. Usije ukajichanganya ukanunua used yoyote kwa fashion na huna hela, utatelekeza gari garage kama wanavyosema wadau hapa. Ila yote kwa yote kumaintain hizi gari ni gharama mno, si ajabu zinatelekezwa
 
Inategemea alinunua ikiwa katika hali gani. Usije ukajichanganya ukanunua used yoyote kwa fashion na huna hela, utatelekeza gari garage kama wanavyosema wadau hapa. Ila yote kwa yote kumaintain hizi gari ni gharama mno, si ajabu zinatelekezwa
Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…