Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Ukishamiliki hayo magari,service na maintenance ya gari hizo haitaki longolongo
Ndomana wamiliki wengi wa hizo gari upepo ukikata utaziona hizo gari zinakataa

Ova
 
View attachment 2843066View attachment 2843067View attachment 2845421View attachment 2845424View attachment 2845425

Hizi gari watu wamezishobokea kindezi.

Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
Acha ramli chonganishi mkuu. Kwamba Watanzania 60+ tunashindwa kumiliki haya magari?
Uchumi unatofautiana. Wapo wanaozimudu hizi gari.
By the way wote hatuwezi kuendesha magari ya mitumba kutoka japan.
Kama ni kutelekeza hata za Japan zinatelekezwa sana tuu.
 
Back
Top Bottom