Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Service ya Range Rover ni much cheaper than ya Landcruiser ujue. Msikuze maneno. Halafu ubora wa gari (second hand) ni vitu vitatu:-
1. Imepatikana wapi,
2. Angalia ya mwaka gani (usinunue gari ambayo ilitengenezwa zaidi ya miaka 5),
3. Ina kilometre kiasi gani(madogo isiwe zaidi ya 60,000 KM)
 
Hapana mkuu, haijawahi kutokea hii kitu. In the long run Range Rover heaabu yake lazima isome juu, at least kwa uzoefu mdogo na shuhuda kadhaa. Labda kama una mifano au kama unaongelea service ya oil peke yake
 
Leo ipo inafanyiwa service CMC ndugu yangu. Ni rahisi huwezi kulinganisha na V8 bila 5M hufanyi service
 
Unaweza kutoa breakdown ya hiyo service ya 5M?? Na inafamywa baada ya muda gani? Na vipi range rover ya mwaka kama huo kwa service inayofanan na hiyo ya landcruiser. Inawezekana sielewi
 
umeona receipt nilizoweka ila kwa usalama nikaziondoa?
 
Niliwahi sikia sababu kubwa ya hii kutu ni chumvi inayomwagwa huko wakati wa baridi ili kuizuia barafu isigande barabarani, jee hili lina ukweli?
Kweli ata japan pia na ardhi ya kule ni ya chumvi chumvi pia..
 
Nasikia Mzee wa Madungu anawauzia madude mabovu.
 
Back
Top Bottom