Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Si tulikubaliana humu JF kila mtu ana discovery 4😂😂😂Na vipi sisi tunaondesha baiskeli za FONEX hali imekaaje?
Pedeli ya baskeli ni AFTATU au bei ngapi?
Nikijibamiza pumbu kwenye bomba la baskeli ntapata BIMA ya mashono??
Cc: Extrovert Lamomy dronedrake Yohimbe bark Mshamba wa kusini Mzee wa kupambania
Nenda kwa KC global link /chris lukosiNataka kuchukua Discovery 3, inakwenda kwa bei gani?
Dhumuni la video yangu ni kuonesha how far you can go kumodify gari ( huyo kijana kafunga 600bhp).Fika chuga hutojuta, wapo kibao.
View: https://www.instagram.com/p/CjfXBZbtkHZ/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.instagram.com/p/C7TXQnxNmmF/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.instagram.com/p/C7OgCm8NoEn/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.instagram.com/p/C6MvKgitgiI/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Dealer Yuko Dar mtu uko simiyu huko Mbona usumbufu Bora gari za mjapan tuKiukweli kabisa kuna brand ya hizi gari ni muhimu mno kwenda kufanya schedule maintenance au repairs kwa dealer wake kwasababu mitaani changamoto ni kubwa, expert walio qualify ni nadra.
Yale ya UK yameliwa na kutuNenda kwa KC global link /chris lukosi
Ushawahi kumiliki moja au ni experience ya story za Vijiweni?
Simfahamu Mshana Jr personally zaidi ya hapa jukwaani, lakini nahisi kumwuliza swali kama hilo ni sawa na kumdhalilisha. Nahisi hivyo ingawa sijui ni kwa nini!Ushawahi kumiliki moja au ni experience ya story za Vijiweni?
NotedNiwasihi Tena. Hizi si gari
Acha ramli chonganishi mkuu. Kwamba Watanzania 60+ tunashindwa kumiliki haya magari?View attachment 2843066View attachment 2843067View attachment 2845421View attachment 2845424View attachment 2845425
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi.
Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
Acha kutetea watu waongo waongoSimfahamu Mshana Jr personally zaidi ya hapa jukwaani, lakini nahisi kumwuliza swali kama hilo ni sawa na kumdhalilisha. Nahisi hivyo ingawa sijui ni kwa nini!
Ni Tiguan ipi unayozungumziaHatari na nusu. Wakati fulan nilitaka kujichanganya nikastuka. Nimekaa Kwa Tiguan mwaka wa pili sasa
Watu wanazishonokea but kuzihudumia ahhhhh. European cars doesnt want kona kona.View attachment 2843066View attachment 2843067View attachment 2845421View attachment 2845424View attachment 2845425
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi.
Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.