Dishi la DSTV linahitajika haraka

Dishi la DSTV linahitajika haraka

Azam ukifunga kwenye Dstv, zuku, startimes na hata canal inafanya kazi vizuri tu.

Ila sio startimes au dish la zuku ufunge kwenye azam, dstv au canal.

Startimes unaweza ukafunga kwenye zuku tu.
 
Nenda kafunge iyo startimes kwenye dstv alafu upate signal quality na strenght kama ivi.basi nitaacha kazi za kufunga mafish
283f6e2abc11201d.jpeg
 
Back
Top Bottom