mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kuzungumza na kulifanyia analysis wazo lililotolewa na raia wa Kenya, mwenye hadhi ya Dr.David Ndii sio kuwatakia mabaya, na wala sijasema kwamba ninakubaliana naye katika hili, lengo ni kupata mawazo ya wakenya wengine
Uchaguzi ulishasahaulika, Ndii pia kasahaulika, huku ni kazi tu na kushughulikia The third meeting of the UN Environment Assembly (UNEA 3) and the FIRST in Africa 4 - 6 December 2017.