FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Japo mpaka sasa jamaa bado yumo ndani ya futi 6, ila si mbaya kama tutajikumbushia baadhi ya Diss line zake kwa wasamalia wema/yani watu wasiohusika na Muziki.
Kwenye 'Over n Over' Jamaa alinena maneno haya kwenda kwa Askari wetu wa usalama barabarani:
'Adimu ka kumpata traffic handsome ... 😂 '
Huyu jamaa bana, sjui maafande wetu walimkoseaga nini tu.
Kwenye 'Over n Over' aliwachana wanaume wa Dar kwa maneno haya.
'..... wanaume wa Dar, wakiisha kula zege wanaadithiana black panthers....😂😂😂
Babu Talent😂😂
Naitwa kaka meneja mzee wa fitina tangu kale/
Mr. Middleman Boss tough wallet Babu Talent/
Natoka Manzese Tip Top Connection/
Huku hatupendi ngumu labda hip hop commercial/
Madee alikuwa anarap nikamwambia hiyo haiuzi/
Siku hizi anaimba video anashootia Sauzi😂😂
Jamaa aliwai kuwa-diss hata watu wanaohitaji faragha😂, watu wasiopenda makuu😂 , wazee wa CHAPUTA. Dah..
Ongeza na wewe.