Diss za Nikki Mbishi kwa watu wasiohusika na muziki/sio wasanii

Diss za Nikki Mbishi kwa watu wasiohusika na muziki/sio wasanii

darasa bila elimu mambo bamba to bamba


show zangu mpeni country boy/
ili mtaani niishi kama junk boy
 
ila hiphop ipo kwa ajili ya 'Diss' kuongea ukweli bila kuhofia chochote na kwa mtu yoyote muda wowote.
hayo mambo ya bata na mapenzi ni nyongeza tuh
 
Kwenye 'dada pumzisha mwili wako' amewachana sana masista duu

Jeki za matiti vigodoro makalio/
Lips ka mazombie yanaimba mapambio/
Mnaboa ile kichizi na mkiniona msiniguse/

😂😂😂😂😂
 
”Achia njia ‘Darasa’ wahuni tuje ki-hardcore”.

Kwenye Cipher ya Castle Lite 2019
 
Back
Top Bottom