Diss za Nikki Mbishi kwa watu wasiohusika na muziki/sio wasanii

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Japo mpaka sasa jamaa bado yumo ndani ya futi 6, ila si mbaya kama tutajikumbushia baadhi ya Diss line zake kwa wasamalia wema/yani watu wasiohusika na Muziki.

Kwenye 'Over n Over' Jamaa alinena maneno haya kwenda kwa Askari wetu wa usalama barabarani:

'Adimu ka kumpata traffic handsome ... ๐Ÿ˜‚ '


Huyu jamaa bana, sjui maafande wetu walimkoseaga nini tu.

Kwenye 'Over n Over' aliwachana wanaume wa Dar kwa maneno haya.
'..... wanaume wa Dar, wakiisha kula zege wanaadithiana black panthers....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Babu Talent๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naitwa kaka meneja mzee wa fitina tangu kale/
Mr. Middleman Boss tough wallet Babu Talent/
Natoka Manzese Tip Top Connection/
Huku hatupendi ngumu labda hip hop commercial/
Madee alikuwa anarap nikamwambia hiyo haiuzi/
Siku hizi anaimba video anashootia Sauzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Jamaa aliwai kuwa-diss hata watu wanaohitaji faragha๐Ÿ˜‚, watu wasiopenda makuu๐Ÿ˜‚ , wazee wa CHAPUTA. Dah..

Ongeza na wewe.
 
Hahaha.. We n konyo bablai..
 
Kaz gan hii
 
Mi ndo chaklaboty\ chapa ya noti\ siuzi sura mpaka ya post\ hapa mikosi\ kama umemuona papa\ ana smoke weed\ au rapa\ anatalk shit\ na bado anajiita ni boss\ NYINGINE HII Nafunguka mtumwa nakuwa huru\ na great (kanumba) hawezi kufa kwa kusukumwa na lulu\ . hii nadhani ilikuwa dis kwa mkongwe wa tasnia!
 
Hahaha.. huyu mchz huyu ndio maana aliambiwa anadiss na watu wote kwny tasnia
 
Nasikia anatoa ndogo /zaidi ya gay mwenye pepo
Nje hijabu ndani bikini
 
divas hawaendi mawinguni
 
Wazee wamefua sasa. Wanamwaga povu naona wanapiga , magoti kwa Adamu mchomvu na B.dozen

Mnaninyima Fiesta mnamchukua Ruge ,kuna Muda najisikia kama siitaji marafiki, Rip zizi.

Hapo Juu aliwadisi Chidi benzi na...Q chillah walivyoenda kulia lia kwa clouds na wakaanza kupiga magoti yaani walifanya vitu vya Aibu.
 
Aah noma snaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ