AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
- Thread starter
- #21
Mnapenda visasi nyie, lakini si Maandiko yanaruhusu mwanaume kua na masuria kwanini using e vumilia zaidi?M nmewah kuvumilia kwa mwaka tu ila nilivyojua yy ndo champion wa kutembeza ,aaaaaah mm pia nilipea mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]