Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,046
I am very disappointed, we have laws for Christ sake. I am very disappointed. IPOA should reprimand him. Very disappointed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you hate Police the next time you need help call a criminal...!!Hawa mbwa wetu umewasahau?
Ni Mawazo yangu maana Tabia nyingi za polisi ni kuiga iga kunyanyasa raiaSiyo kiivyo wewe
If you hate Police next time you need help call a criminal....!!Wana roho mbaya sana hawa ila malipo ni hapa hapa duniani.
Mtu anauliwa liveAm not commenting anything. Mpaka siku ya bashite iishe. Isijekuwa hii ilikuwa staged siku ya wajinga.
Hao sio polisi bali ni wajinga. Huwezi shika mtu halaf una mpiga risasi km una piga mbwa risasi.If you hate Police next time you need help call a criminal....!!
ahahaaaaaVituko![]()
hii inafanyika kila mahali...wakora wanauwawa na polisi South Africa kila uchao....wacha kujifanya ni kana kwamba tanzania ni binguni...mwehu weSiyo kiivyo wewe
jambo lipi linakufurahisha?ahahaaaaa
nacheka alshabab kuchukua gari halafu hawajafatwajambo lipi linakufurahisha?
Kabla hujatukanahii inafanyika kila mahali...wakora wanauwawa na polisi South Africa kila uchao....wacha kujifanya ni kana kwamba tanzania ni binguni...mwehu we
gaza wako hata githurai na kayole...hawa vijana waovu kwelkwelWanajiita Gaza hao vijana,kule Dandora na Kayole na mitaa ya Eastlands,Nairobi wanawaua na kuwaibia na kuwavurugia amani raia wasio na hatia.Genge la vijana wachanga lakini maovu wanayoyafanya ni ya kinyama saana hata zaidi ya Polisi!Afu wanafanya mambo yao hadharani eti!Ukiona face book account zao utamaka wanachekesha silaha hatari laivu na wanapost picha kibao za bunda za hela za wizi na bling za kupindukia tena!Wanadhani Dandora ni Jamaica?Manina zao,juzi walimpiga risasi na kumuua afisa wa polisi eti!Walitegemea nini?Lugha wanayoelewa ni hiyo!
Hahaha Endelea kutukanamakende wewe nina uhakika ninajua kuandika kiswahili kukuliko shenzi