Disturbing video shows Police kill unarmed man in Eastleigh

Binfasi nipo bado kwenye msimamo wangu, kwamba piga, tena nasema piga hao mbwa.... Lakini sio kwa style hiyo hapo mbele ya watoto. Unapofanya hivyo, unawafanya watoto wetu wazoee kuona mambo kama hayo na wanakua sugu. Nchi nyingi zenye amani zipo hivyo kwa ajili kutozoea kuona vita, au mabunduki yakitumika.

Nchi za hivyo hata boya la gurudumu la gari likipasuka, wanataharuki balaa maana hawana uzoefu huo. Lakini ukianza vituko vya kupiga piga watu marisasi mbele ya umati, unaanza kuwafanya wazoee na kuwa sugu na kuanzia hapo nchi inaelekea kuzimu.
 
Wakenya wengi kwenye social media wamewapongeza polisi kwa tukio hili. Ni dhahiri wamechoshwa na ' panya road'
 
All Somalis? You my friend are a xenophobic man. The kind of people who should die. Not all Somalis are Al Shabaab, same way not all Kikuyus are Mungiki. And you do realise that Somalis are one of native Kenyan tribes? You have a backward savage thinking
 
Do you know the number of police officers the thugs have killed or you're just yapping your mouth in the name of mercy
 
Thats a relative satement my friend,
Earlier on you were very specific "the thugs" what could possibly show this policeman (RIP) was killed by "the thugs"?
They were after the gang when he was gunned down.... Thats the report from Kayole OCD
 
They were after the gang when he was gunned down.... Thats the report from Kayole OCD
Sasa umeruka to report ya 'OCD' but anyway.... I hope you see the point am trying to put across. We know some policemen are corrupt so we cannot take their word for it, that's why there are courts to acertain claims by either side.
What if these young men did not submit the proceeds of a previous loot to the boss? wakaambiwa MTAONA!? Or maybe like you said, are members of a notorious gang responsible for a number of police killings. How do we know for sure?
Now we will never know
 
Enyewe l see the point
 
I heard Obama openly condemn the killing of an african american but asked the nation to stay calm as investigations went on.
Your president swore to protect the constitution and uphold the rule of law lakini tukio baya kama hilo limetokea amekaa kimya tu!?
Mbona Aliwa-defend waiba mikate wa kule Westgate?!
Watu wanakufa njaa yeye ana ibua dance style statehouse. Vijana wanakua executed mtaani yeye anapitia mitihani ya Joho! Hehehe...... huyu was kwenu boya kweli!!
 
Kenyans are the best when it comes to the rule of law...
 
If you hate Police the next time you need help call a criminal...!!

Get it... if it's about killing people/taking law into hands any raia can do it. No wonder Alshabaab is doing the same every other day.
 
Truth I agree with you 100% that is injustice
 
upuzi nyie mnawezana na alshabaab??? si mtamalizwa nyote mpaka rais...

We fought so many wars against better equipped and well organized armies.

Al shabab is a ragtag militia group with ill trained and ill equipped malnourished soldiers. A ragtag group that cant even afford decent shoes.

Al shabab is only superior to ragtag KDF that is solely designed to control Kenyans.
 
T Tanzania ya viwanda bro pimbi..
 
Actually those thugs were Somali killed by a Somali police officer. They were mostly harassing other Somalis in Eastleigh
 
Siku zote habari kama hizi huwa haziletwi humu na wakenya wenyewe wao wako busy na "New ongoing projects" huwa nahisi hili jukwaa limejaa vibaraka wa Uhuru tu.

Huo ndiyo uzalendo au akili za mbuni?
 
Dah hapa kitaa tumebishana na jamaa zangu nusra tutoane macho, yaani msimamo wangu ni hapana sio kwa style hiyo. Bora wangekwenda kummalizia porini lakini sio mbele ya watoto na jamii kwa design hiyo. Hatujafika huko......
Nahisi polisi wale wameona ifanyike hadharani kuwaonya vijana wengine kwamba kitakachofanyika ndio hicho.

Huo ni ujumbe kama hilo genge lipo na linaua polisi na RAIA kuna haja ya kuchukua hatua madhubuti ila ile style ya kumkamata na kumuua vile ukiwa umemshika inatia huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…