MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Binfasi nipo bado kwenye msimamo wangu, kwamba piga, tena nasema piga hao mbwa.... Lakini sio kwa style hiyo hapo mbele ya watoto. Unapofanya hivyo, unawafanya watoto wetu wazoee kuona mambo kama hayo na wanakua sugu. Nchi nyingi zenye amani zipo hivyo kwa ajili kutozoea kuona vita, au mabunduki yakitumika.
Nchi za hivyo hata boya la gurudumu la gari likipasuka, wanataharuki balaa maana hawana uzoefu huo. Lakini ukianza vituko vya kupiga piga watu marisasi mbele ya umati, unaanza kuwafanya wazoee na kuwa sugu na kuanzia hapo nchi inaelekea kuzimu.