Ditram anaendelea kufurahia bao lake baada ya mwaka mmoja akiwa Yanga. Saido naye awashangaza wadau

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ditram bado anaonekana mwenye furaha baada ya kufunga goal siku kadhaa zilizopita. Huku na Saido naye kwa furaha kabisa baada ya kufunga goal aliomba atolewe nje ili aende kushngalia.

Kwa kweli Yanga tumepiga hatua kubwa sana katika mpira wa miguu..style ya Saido imekuwa kivutio kikubwa ikiwa imefuatia baada ya mchezaji mwingine wa Yanga kufunga goal mazoezin na kuruka somer sault za kitosha.

Yanga wamekuwa na aina nyingi za ushangiliaji ukiachana na ile ya kuvua jersey ambayo pia mchezaji mmoja aliwahi itumia kufurahia muujiza wake wa kufunga goal.

Wadau wengi wamempongeza Nchimbi ambaye ameonekana muda mwingi akitabasamu na kunywa sana pombe. Huku pia wakimwombea Saido aendelee kufunga. Waswasi ni kuwa je akifunga kwenye match za kimataifa si atatoka kbisa nje ya nchi kwenda shangilia?
 
Kwamba akifunga kwenye mechi za kimataifa, atatoka hadi wapi? [emoji23][emoji23]
 
Ditram bado anaonekana mwenye furaha baada ya kufunga goal siku kadhaa zilizopita. Huku na Saido naye kwa furaha kabisa baada ya kufunga goal aliomba atolewe nje ili aende kushngalia.

Kwa kweli Yanga tumepiga hatua kubwa sana katika mpira wa miguu..style ya Saido imekuwa kivutio kikubwa ikiwa imefuatia baada ya mchezaji mwingine wa Yanga kufunga goal mazoezin na kuruka somer sault za kitosha.

Yanga wamekuwa na aina nyingi za ushangiliaji ukiachana na ile ya kuvua jersey ambayo pia mchezaji mmoja aliwahi itumia kufurahia muujiza wake wa kufunga goal.

Wadau wengi wamempongeza Nchimbi ambaye ameonekana muda mwingi akitabasamu na kunywa sana pombe. Huku pia wakimwombea Saido aendelee kufunga. Waswasi ni kuwa je akifunga kwenye match za kimataifa si atatoka kbisa nje ya nchi kwenda shangilia?
Umeileta hii taarifa yako kwa hisani ya nani? Mwamedi au Hans Pope?
 
Back
Top Bottom