buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Makolokolo fc kule ndoo kunawafaa, pia ndoo kuna vizee (vibabu)wenzaoWana uwezo wa kucheza wap sasa
Nabi ana shida, jana kamchoosha Aucho kwa kumuanzisha Yanick kama CB, partnership yao ilionekana na Feisal ilitakiwa akae juu yao kiungo kibalance. Atafukuzwa very soon na ujinga wake.Ni wachezaji wa kiwango cha taifa ila unapokwenda kupanda kwenye quality standard bado huwaoni pale at least Job anakuja taratibu na kaseke kwa mbali...
Mjinga Sana Yule Dogo, katika Sub Mbovu aliyoifanya Nabi na Kaze ni Hyo Ya MauyaZawadi Mauya hakuna mchezaji pale
Ni kweli,adeyum kule yupo david bryson sema ni majeruhi,ninja tumuage kwa amani,na mauya kweli uwezo wake mdogo,nchimbi pia tumuage tuKama yanga tunataka ubingwa basi inatakiwa watafutwe mbadala wao, hawa wachezaji wametugalimu sana msimu uliopita kwa kutojituma na kukosa kontro...
Ila aliifunga simba mkuuZawadi Mauya hakuna mchezaji pale
Makolo muli bwanji babaauto kumbukeni siku ushindi wenu huwa ni 1-0.
Makolo muli bwanji mamaaMmeanza
Saidoo majeruhiNi wachezaji wa kiwango cha taifa ila unapokwenda kupanda kwenye quality standard bado huwaoni pale at least Job anakuja taratibu na kaseke kwa mbali
Kwa kikosi hiki Faisal ameifikia quality anglau anakwenda sambamba na akina Mayele..sijui benchi la ufundi wanawaza nini...unashindwa kumtumia Saidoo unaweka Zawadi?