buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Kama yanga tunataka ubingwa basi inatakiwa watafutwe mbadala wao, hawa wachezaji wametugalimu sana msimu uliopita kwa kutojituma na kukosa kontro .
Kupitia mechi ya Leo dhidi ya kagera sugar wachezaji hao ukimtoa adeyumu walitaka kurudia makosa ambayo yalipelekea kuzidiwa kimbinu na Kagera.
Ombi kwa mabosi wetu GSM watutafutie wachezaji wenye hadhi ya kuichezea yanga