Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Hivi kweli huyu bibie anajiita Diva anajielewa? mnisaidie walimwengu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi yasiyo rasmi yamechepushwa zamani kuna kiongozi alisema wamakonde wakazane penye mikorosho wahaya wakazane penye migomba wasukuma wakazane penye majaluba ilieleweka vizuri kabisa.Sasa kizazi hiki cha kuchepusha mtu ukimwambia nimekukanyaga basi ugomvi au mtu akwambie kama unasubiri kitu kuwa kijana usiwe na wasiwasi utashughulikiwa.kwani neno kukaza ni tusi?
Inataka mwanaume rijali hasa kumkojoza binti machozi maana mmmmmmmh nisimkufuru muumba.Jay dee yeye katakana sana wanaume, eti wanaume kama mabinti, Mara hahaha yahaya... Yeye kukojozwa imekua nongwa!!
Ndio huyo gadner kamkojoza tena. Atakaemkojoza baada ya hapa ntakuja anakojoza bibi..Inataka mwanaume rijali hasa kumkojoza binti machozi maana mmmmmmmh nisimkufuru muumba.
Si ndo maana akajisifu maana commando ni commando kweli kimuonekano ni hizo make up tu.Ndio huyo gadner kamkojoza tena. Atakaemkojoza baada ya hapa ntakuja anakojoza bibi..
Suala la sukari mjadala inabidi ufungwe sasa kwa maana badala ya uhaba wa sukari kuwa kero mjadala ndo kero sasa aaagh!Kweli kila mchawi Na mbuyu wake...sie tunalia Na sukari tu!!
Amecheki DNA? Wanaume 6 kati ya 10 wanaishi na watoto wa baba wengineGadner tayari ana mtoto , sasa jaydee anapata mimba vipi wakati uwezo hana?
Uko sahihi wanafaa wapate barua kabisambunge atatoa maagizo kwente twtter a/c?! Hajalichukulia serious, kama kamaanisha awatwange clouds barua.
Mkuu umeniwahi... Uyu diva anajifanya anajua kumbe upstairs ziro kabisa coz kipindi hicho ametukanwa yeye mhe.nahisi alikuwa mbunge wa kawaida tu sio waziri husikaKwani kipindi hicho Kigwa alikuwa tayari ni naibu waziri?