wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
[emoji3][emoji3][emoji3]Diva ni mbunge wa wapi? Sijasikia hilo jina bungeni au???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Diva ni mbunge wa wapi? Sijasikia hilo jina bungeni au???
Gardner kavumilia sana.....15 years anamkojoza mtu lakini wapi mimba imegoma, bora atulie na binti yake tu...... Jide kaungane na s3petu
Mtangazaji wa diva kupitia twitter View attachment 345989View attachment 345990
Amembana mbavu Naibu Waziri Dr. Kigwangalla baada ya kulitolea tamko suala la Lady Jaydee na Gadner.
Ikumbukwe kwenye kipindi cha XXL, Diamond Platnumz alimwambia Diva live akiwa hewani kuwa dawa yake ni kumkaza.
Waziri pia alijitetea suala la wabunge wa UKAWA kuitwa baby hakuzungumza kwasababu suala mambo ya bunge yanaishia bungeni.
Naye si anataka aandikwe?huyo diva ni matakataka naye
Mkuu wewe umeshamaliza kuzaa?
Bora umeliona hilo. Watu wengine wanapost kwa sifa ili waonekane wamechangia. Wanasahau Mungu ana uwezo wa kufanya chochote... Mwenye watoto kama timu ya mpira akageuka zero. Jide sidhani kama alichagua kukosa mtoto..
Hata mie nimeliona watu huwa wanapenda kumjaribu MUNGU ht aliyebarikiwa watoto hapaswi kusema hayo MUNGU anaweza kuchukua wote tena kwa siku moja akabaki kama ambaye hana.Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kukosa mtoto.Bora umeliona hilo. Watu wengine wanapost kwa sifa ili waonekane wamechangia. Wanasahau Mungu ana uwezo wa kufanya chochote... Mwenye watoto kama timu ya mpira akageuka zero. Jide sidhani kama alichagua kukosa mtoto..
UMEONGEA NENO JEMA MKUU YAANI UNGEKUWA KARIBU NINGEKUPA HIGH FIVE ASANTE KWA KUGUSIA HILI WENGI HAWAJUI KUWA WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU ANA WANAWEZA KUONDOKA NDANI YA SEKUNDE NA USITEGEMEE KUPATA TENAHata mie nimeliona watu huwa wanapenda kumjaribu MUNGU ht aliyebarikiwa watoto hapaswi kusema hayo MUNGU anaweza kuchukua wote tena kwa siku moja akabaki kama ambaye hana.Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kukosa mtoto.