Diva amjia juu Naibu Waziri Kigwangalla, adai yeye alitukanwa live na Diamond

kwani neno kukaza ni tusi?
Matusi yasiyo rasmi yamechepushwa zamani kuna kiongozi alisema wamakonde wakazane penye mikorosho wahaya wakazane penye migomba wasukuma wakazane penye majaluba ilieleweka vizuri kabisa.Sasa kizazi hiki cha kuchepusha mtu ukimwambia nimekukanyaga basi ugomvi au mtu akwambie kama unasubiri kitu kuwa kijana usiwe na wasiwasi utashughulikiwa.
 
Kama analeta upuuzi lazima atukanwe na kukazwa akazwe Tu kama Ngote alivosema.
 
Amecheki DNA? Wanaume 6 kati ya 10 wanaishi na watoto wa baba wengine

Na jide na yeye akacheki nini? Haiwezekani hata kabla ya gadner alikuwa na mtu lakini nae chenga
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ivi tatizo ni kua KAKOJOZWA au Captaaaaiin kutamka hadharani duh mhuni G kafunika hadi wimbo wao wa ndi ndi ndi kwa clip ya 30 seconds kwiii kwiii
 
Huyo diva naye alikojozwa na King crazy Mara na prezz mara zzk Mara mo rack sema mondi angemkojoza ki ndi ndi ndiiii
 
Naye alikojozwa tayari?aliolwwa na diamond?au ndo anatafuta kukazwa kweli?
 
Kwani kipindi hicho Kigwa alikuwa tayari ni naibu waziri?
Mkuu umeniwahi... Uyu diva anajifanya anajua kumbe upstairs ziro kabisa coz kipindi hicho ametukanwa yeye mhe.nahisi alikuwa mbunge wa kawaida tu sio waziri husika
 
Gardner kavumilia sana.....15 years anamkojoza mtu lakini wapi mimba imegoma, bora atulie na binti yake tu...... Jide kaungane na s3petu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…