Diva amjia juu Naibu Waziri Kigwangalla, adai yeye alitukanwa live na Diamond

uyu Diva na ala zake za roho kuna udhalilishaji sana kwa walio single.aombe nae radhi
 
Diva nae japo ni Mtani wangu wa Kihaya ila muda mwingine awe anatumia AKILI. Hivi labda amejua ni kwanini Naibu Waziri Kigangwala amejitokeza kulaani hicho alichokifanya Gadner? Hivi Diva hajui kuwa Kigangwala anasimamia Wizara ya Jinsia ambayo Kimantiki alikuwa na umuhimu wa kukemea hicho kitendo? Yeye alitukanwa na Diamond wakati Kigangwala hakuwa mwenye dhamana na hiyo Wizara na ningemwona Diva ana AKILI nzuri kama za Wahaya ninaowajua hizo lawama zake angezielekeza kwa aliyekuwa Waziri mwenye dhamana hiyo wakati wa awamu ya Kikwete ila kwa awamu hii ya Magufuli HAPA KAZI TU! Halafu nashangaa mbea namba moja humu Nifah katika UZI huu wa kimbea mbea simwoni.
 
Bora umeliona hilo. Watu wengine wanapost kwa sifa ili waonekane wamechangia. Wanasahau Mungu ana uwezo wa kufanya chochote... Mwenye watoto kama timu ya mpira akageuka zero. Jide sidhani kama alichagua kukosa mtoto..

Tukiwa nyuma ya keyboard huwa tunadhani sisi ndo kila kitu. Na tunakaa tunashangilia masaibu yanayowakuta wenzetu.
 
Bora umeliona hilo. Watu wengine wanapost kwa sifa ili waonekane wamechangia. Wanasahau Mungu ana uwezo wa kufanya chochote... Mwenye watoto kama timu ya mpira akageuka zero. Jide sidhani kama alichagua kukosa mtoto..
Hata mie nimeliona watu huwa wanapenda kumjaribu MUNGU ht aliyebarikiwa watoto hapaswi kusema hayo MUNGU anaweza kuchukua wote tena kwa siku moja akabaki kama ambaye hana.Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kukosa mtoto.
 
UMEONGEA NENO JEMA MKUU YAANI UNGEKUWA KARIBU NINGEKUPA HIGH FIVE ASANTE KWA KUGUSIA HILI WENGI HAWAJUI KUWA WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU ANA WANAWEZA KUONDOKA NDANI YA SEKUNDE NA USITEGEMEE KUPATA TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…