Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Hawa madada na vibenten ngoja wakome, tatizo washapigwa sana papuch zimepwaya hivyo kurizishwa wanahitaji vibenten vkajifunzie kwao. Liwa na wazee wenzio yatosha.
 
Aisee daah. Dogo huyo hata hawaendani. Naye hakutumia akili. Unatembeaje na dogo kama huyo. Haya sasa. Umemtosa kamanda wetu GK anakupa mapenzi ya ki hardcore umefata vibishololo umepata aibu.
 
Yani inakeraa sana hii hali ya wadada kutembea na wtt wadogo. Huyo mtoto nampongeza kajitambua. Na wadada wengi wenye tabia hizi ni wale waliokua wananata nakujiona hawatachacha
 
Pelekeni mambo zenu hukoo sisi tunatetea kinondoni yetu inayochezewa
 
Haya wanawake mnao penda wavulana na kuacha wanaume msilie
 
Hawa nao wakome kudate na wadogo zao.... Hata siku 1 kiben 10 hakiwezi kukuacha salama
 
Nilisikiliza maojiano ya leo tena. Na shilawadu. Vijana kaongea vizuri tu. Mimi nimempenda sana. Diva alitaka kujitambulisha kuwa yeye ndiye anaye mthibiti kijana. Na kumbe walishakorofishana tangu. Na kukubaliana kuishi na kufanya kazi tu.. si vinginevyo. Na wakijubaliana kabla ya kuingia kwenye mahojiano.

2. Inaonyesha kijana apendi kuamriwa na mwanamke wake. Diva utolea amri kila mahali hadi kulazimishwa kuamkiwa SHIKAMOOO.kutumwa kama mfanya kazi wake.

3. Inaonyesha kwamba chuoni ana msichana mwingine au penzi jipya kwa mtoto mweziwee. Na kuachana na MASHANGINGI ya mjii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…