Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Kwani huyu diva ana uzuri gani kushinda watangazaji wengune,? Mbona ni demu wa kawaida tu kama wengine, tena pengine wapo wakali kuliko yeye

Na angekuwa ana hizo sifa unazo mpa wala asinge temwa kiana kwenye hadhira ile,
 
Utoto raha anakwenda kuchukua kadogodogo kenzake jamani uzee unadawa zake hawa vijana mm akhaaaaa
 

Kumbe ana miaka 22.. ila jamani mapenzi ni mapenzi.. msimcheke mdada wa watu.. ni yanaumiza sana sana.. nimemuonea huruma.
 


Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Na huyo kifaru pembeni yake ana miaka ngapi? Ili tufanye ANOVA tests tujue if there is significant age variation.....Just normal statistics..
 
Hahaaa mwenye picha yake ambayo hajavaa miwani aweke hapa
 
Safi sana,,,,,, badala ya kutafuta gentleman,, unahangaika na vitoto,,,
 
Muosha huoshwa,sasa atakua na heshima kwenye mapenzi,alimdhalilisha sana kaka wa watu kuwa ni mnene hajui mapenzi na hampendi
 


Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Sasa lanini hilo toto, kazi ipo. Sema na Diva kawa pokonyo mno, mi mwenyewe ningetupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…