Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
Na huyo kifaru pembeni yake ana miaka ngapi? Ili tufanye ANOVA tests tujue if there is significant age variation.....Just normal statistics..![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Kumbe ile makitu inaitwa pango! Aiyaaa yaaaEti mvuto kwa mkorogo huo au??? Saiv ni kavulana wakati anamtanulia pango!!! Mxiiiiiiieeeeeeew
Hahaaaaa mwambieni aje kwangu mimiAnachochemka Diva ni kiherehere chake cha kuanza kupenda yeye badala ya kutulia apendwe!!!
Hewaaaaaa[emoji23] [emoji23] kujihisi tu...deep down kwenye moyo wako unajijua kwamba kigagula tu
Ndio wakome kuliwa na vitoto
Sasa lanini hilo toto, kazi ipo. Sema na Diva kawa pokonyo mno, mi mwenyewe ningetupa kule![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
YapYawezekana ikawa ni planned ili kuboost wimbo mpya wa Heri