Heeeeeehhh....kumbe ndiyo maana yupo hivyo duhhh!![emoji15] [emoji15] [emoji15]Karithi umalaya kwa babayake, maana nasikia huyu ni mtoto wa mchepuko
Hahaha!!Hawa vijana wa siku hizi nao mchele mchele tu ndo ya kina calisa haya, upo na.goma badala upige mzigo upo bize unapiga picha.
k ni k.....
inaelekea Diva anajua kukiss kwelikweli.
Tena.unaota umeangalia chini ukiangalia juu sio mkia huo hiyo ni antenaHahaha!!
Unanifurahisha sana!!!
Ungekua kidume ungewafundisha kwa nini Mkia uniota kwa Nyuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaaa,,,,,Tena.unaota umeangalia chini ukiangalia juu sio mkia huo hiyo ni antena
mbuzi mweyewe ana antena sio mkia ule
Kama hii ndio sauti iliyopita kwenye mic za studio fulan. Acha na mimi niwe mwanamziki. Huu mwaka haushi kavuHeriMusic, naona anatafuta kiki kwa kikongwe.
Sio Ibra Nation ila huyu demu uzungu mwingiiii [emoji2] [emoji2] [emoji2]mi ndo maana sisikilizagi vipindi vya usikuWametaka kufanana na dogo flani anaitwa [/b]HERI MUZIKI ameimba wimbo unaitwa nakukumbukaga......
Atakayeweza alete video yake hapa tuoanishe
umenikumbusha chaboHahahaaaaaa,,,,,
Evelyn Salt,, shughur yako yaonekana simchezo,,,,
Nataman nije nikule chabo
Hahahahaha...umenichekesha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umri hawalingani ila matendo wanalingana , kwisha
Hahahahaha...umenichekesha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]